Ahmed Ally: Kocha Ramovic Aombe Radhi Kusema Ligi ya Tanzania ni Dhaifu

 

Afisa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amemtaka kocha mkuu wa klabu ya Yanga kuomba radhi baada ya kuiita Ligi ya Tanzania Bara dhaifu.

“Kocha Ramovic anapaswa kuomba radhi kwa kuiita Ligi ya Tanzania dhaifu, au afukuzwe. Kama ligi yetu ni dhaifu mbona amekuja kufundisha huku? Hii kauli inapaswa kupingwa vikali.”

– Ahmed Ally, Afisa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *