Klabu ya Chelsea imekamilisha usajili wa mshambuliaji Liam Rory Delap kwa ada ya pauni milioni 30 baada ya kuvunja mkataba wa nyota huyo huko Ipswich Town huko nyota huyo akisaini mkataba wa miaka sita.

Delap (22) raia wa England ambaye timu yake ya Ipswich Town imeshuka daraja ameichagua Chelsea licha ya kutakiwa na Man United, Everton na baadhi ya timu kutoka Ujerumani na Italia.

Nyota huyo anatua datajani kama pendekezo la kocha Enzo Maresca ambaye amewahi naye kazi kwenye timu ya vijana (academy) ya Manchester City.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *