Ipashwe Kusema tu Simba Leo Kapelekewa Moto, Rs Berkana Wamekamilika

Berkane
Berkane

Mpira Umeisha Simba Kafungwa 2 Bila na Rs Berkane, Tangu msimu huu uanze Simba hawajahi kukutana na quality kama hii ya Berkane,jamaa wamekamilika kila eneo,baada ya Simba kufanya mabadiliko kipindi cha pili na kurejea na back 3,wameonekana kuzuia vizuri.

Hawa Berkane wana quality sana,wachezaji wao wengi wana ufundi mwingi kwenye 1 v 1,yule Camara ana-control mechi nzima kwa miguu yake,kama Simba anahitaji kubeba ubingwa lazima mechi ya pili acheze kikubwa kuliko mechi zote za msimu huu.

La sivyo hawa Berkane wanaweza kukupiga Home and away

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *