Ameandika @mzeewajambia Kwa Mujibu wa CAF STADIUM REGURALATIONS uwanja wa Amani Zanzibar haukidhi Kupokea Mchezo wa Fainali..✍️
Uwanja wa Amani Zanzibar upo CATEGORY 3 na ili uwanja uweze Kukidhi Kuchezwa Fainali ya Mashindano ya CAF(Caf Interclub Competitions) unatakiwa Kuwa CATEGORY 4.
Maana yake uwanja wa Amani Unakosa Vitu vya Msingi vya Category 4 Kama
1.Eneo na Idadi Kwa Mashabiki
2.Idadi na Eneo Kwa Dressing room
3.Idadi na Eneo kwa Press Conference
4.Idadi kwa Eneo kwa VIP na VVIP