BREAKING🚨 Rasmi Yanga wameachana na mbio za kumsaini Jean-Florent Ikwange Ibengé.
Jina la Ibenge lilikuwa juu kwenye list ya makocha wanao hitajika na yanga ila mazungumzo ya pande zote mbili yamekufa leo baada ya kushindwa kukubaliana baadhi ya vitu muhimu.
Kwa mara nyingine Ibenge hatokuwa kocha wa Yanga❌
By HansRafael