Rhulani Mokwena anaongoza orodha ya Makocha Wanao Windwa na Yanga

Rhulani Mokwena
Rhulani Mokwena

Updates🚨Rhulani Mokwena anaongoza orodha ya makocha wanao windwa na Yanga✍️

Yanga wako kwenye mazungumzo ya kina na kocha wa zamani wa vilabu vya Mamelodi na Wydad Casablanca,Rhulani Mokwena (38).

Rhulani Mokwena Yuko tayari kupunguza kiwango chake cha mshahara ili kuja kushinda vikombe na Yanga.

Yanga wanamuhitaji kocha huyu aje na wasaidizi wake (kocha wa viungo,fitness na Video analyst).

Yanga wanamtaka Rhulani Mokwena haraka sana,na chochote kinaweza kutokea wiki hii.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *