Shafih Dauda Awashukia Simba “Unachezeshaje Kipa Ambae Hana Uzoefu?”

Published from Blogger Prime Android AppSimba ina makipa wawili timu ya Taifa , mmoja kapata majeraha mwingine yupo fiti unamuacha unaenda kuchezesha Kipa ambaye hana uzoefu , ni kujipiga shoti mwenyewe”
“Kama mlikuwa mnahofu kwanini kwenye sub alikuwa anakaa ? Je ingetokea Salim ameumia ? ” Shafih Dauda
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *