Robertinho “Erasto Nyoni Anajielewa Ntamtumia Msimu Ujao”

Published from Blogger Prime Android App“Nyoni anajitambua na anatekeleza majukumu yake kwa usahihi, inakuwa rahisi kumfikiria kumtumia wakati wowote (Msimu ujao) anapohitajika, aina ya wachezaji wa aina yake ni muhimu kwenye timu
“Naangalia zaidi anachokifanya uwanjani bila kujali anaanza kikosi cha kwanza ama anaingia kipindi cha pili, kikubwa ni utekelezaji wa majukumu yake kwa usahihi na maarifa makubwa”
– Maneno ya Robertinho
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *