Kipa Ally Salim Akabidhiwa tuzo, Kitita Mchezaji Bora wa Mwezi

 

Mlinda mlango wa Simba Ally Salim akikabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba kwa mwezi Aprili mwaka huu, inayoambatana na fedha taslimu Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya Emirate Aluminium Profile.

Ally Salim alikuwa na kiwango bora kwa Mwezi Aprili akiziba vyema Pengo la Aishi Manula ambae anatajwa kuwa majeruhi.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *