Ahmed Ally “Nimelia sana leo tangu asubuhi baada ya kusikiliza mahojiano ya Feisal”

“Nimelia sana leo tangu asubuhi baada ya kusikiliza mahojiano ya Feisal.

“Kijana ameteseka mno, amenyanyaswa sana na amedhalilishwa kuanzia yeye mpaka familia yake

Imeniumiza sana nimeshindwa hata kunywa Chai”

-Afisa habari wa Simba Sc Ahmed Ally

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *