Al Ahly wazuia Mastaa wake kujiunga TIMU za Taifa kujiandaa na Simba

 

Al Ahly wazuia Mastaa wake kujiunga Timu za Taifa kujiandaa na Simba

 Al Ahly wazuia Mastaa wake kujiunga Timu za Taifa kujiandaa na Simba

Klabu ya Al Ahly ya Misri imewazuia wachezaji Percy Tau wa Afrika Kusini na Aliou Dieng wa Mali kujiunga na timu zao za Taifa kwa ajili ya michezo ya Kimataifa ya mwezi Oktoba.

Nyota hao watakuwa sehemu ya kikosi cha Mabingwa hao wa Afrika kitakachotua Nchini siku ya Jumanne Oktoba 17 kwa ajili ya kuivaa Simba SC kwenye mchezo wa African Football League hapo Oktoba 20, 2023 katika dimba la Benjamin Mkapa.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *