Paccome Zouzoua Awaweka Njia Panda Yanga Dili la Kutumkia Al Ahly

Paccome Zouzoua Awaweka Njia Panda Yanga Dili la Kutumkia Al Ahly

TRANSFER NEWS🎙Taarifa kutoka kwenye chanzo changu Cha kuaminika zinadai Paccome Zouzoua ana offer ya Al Ahly hivyo amewaambia Yanga wachukue hela sasa hivi au ataondoka Bure msimu ujao maana hataongeza Mkataba mpya.
Al Ahly SC imetuma Ofa ya 1.5Bilioni za Kitanzania kwenda Yanga ili kupata huduma ya mchezaji wao nyota PacĂ´me Zouzoua.
PacĂ´me Zouzoua Amekubali kujiunga na Al Ahly SC atakuwa akilipwa 126 Milioni za Kitanzania.
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *