Mnyama, Simba Sc amekubali kichapo cha 2-0 ugenini dhidi ya Al Masry ya Misri kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) katika dimba la Suez Canal, Ismailia, Misri.
Mchezo wa marudiano utakaopigwa Aprili 9, 2025 utaamua timu itakayokata tiketi ya nusu fainali ya CAFCC.
FT: Al Masry ๐ช๐ฌ 2-0 ๐น๐ฟ Simba Sc
โฝ 16โ Deghmoum
โฝ 90+1โ John
FT: Asec Mimosas ๐จ๐ฎ 0-1๐ฒ๐ฆ RS Berkane
โฝ 75โ Riahi
FT: Constantine ๐ฉ๐ฟ 1-1 ๐ฉ๐ฟ USM Alger
โฝ 29โ Temine
โฝ 73โ Mondeko Zatu