![]() |
Simba Vs ASEC Mimosas |
Klabu ya @simbasctanzania imepata suluhu ugenini dhidi ya ASEC Mimosas nakufikisha alama 6 kwenye nafasi ya pili nyuma ya Mimosas wenye alama 11.
Simba anatakiwa kushinda mchezo wake wa mwisho kwenye kundi B dhidi ya Jwaneng Galaxy F.C ambao utachezwa tarehe 2 Machi ili kujihakikishia kucheza Robo Fainali msimu huu.
FT | ASEC Mimosas 0-0 Simba SC
GROUP B
ASEC Mimosas – Pts 11
Simba SC – Pts 6
Jwaneng Galaxy – Pts 4
Wydad Casablanca – Pts 3