Fei Toto Amfunika Staa wa Yanga, Stephane Aziz KI

Fei Toto Amfunika Staa wa Yanga, Stephane Aziz KI

Unaambiwa NYOTA wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amemfunika staa wa Yanga, Stephane Aziz KI kwa upachikaji wa mabao katika Ligi Kuu Bara.


Aziz KI aliyekuwa anaongoza kwa muda mrefu na mabao 10, amepitwa na Feisal ambaye amefikisha 11 msimu huu baada ya kufunga mawili wakati timu hiyo ya matajiri wa jiji la Dar es Salaam ikiibuka na ushindi wa 4-1, dhidi ya Dodoma Jiji.
Feisal alifunga mabao hayo dakika ya 62 na 64 huku mengine katika mchezo huo yakifungwa na Ayoub Lyanga na winga, Kipre Junior
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *