Onyango atupia Ihefu ikiichapa KMC Liti Singida

 

Onyango atupia Ihefu ikiichapa KMC Liti Singida

Bao la beki Mkenya, Joash Onyango dakika ya 20 limeipa Ihefu SC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC jana Jumanne Uwanja wa LITI mjini Singida.

Kwa ushindi huo, Ihefu SC inafikisha pointi 23 katika mchezo wa 19 na kusogea nafasi ya saba, wakati KMC inabaki na pointi zake 25 za mechi 20 nafasi ya tano.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *