IMEFICHUKA…Yanga Wampa Offer Fei Toto Sh 750M, Mshahara kwa Mwezi Milioni 40

Fei Toto

Transfer News Live: imefichuka Yanga wameofa tsh 750m (sign-on fee) na mkataba wa miaka miwili kwa Fei Toto,lakini pia wameofa mshahara wa tsh 40m kwa mwezi.

Yanga wanapata kiburi kwani wataingiza pesa ndefu kupitia mauzo ya Aziz Ki.

Yanga wako serious wanahitaji Saini ya Fei Toto✍️

Ofa ya mwisho ya Simba ilikuwa ni tsh 600m (sign-on fee) walimwambia Fei atalipwa tsh 400m kwenye msimu wake wa kwanza na tsh 200m kwenye msimu wake wa pili.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *