Simba SC Kucheza na Singida Black Stars Nusu Fainali Kombe la CRDB

Simba SC Kucheza na Singida Black Stars Nusu Fainali Kombe la CRDB

Kikosi cha Simba SC kitacheza dhidi ya Singida Black Stars hatua ya nusu fainali ya Kombe la CRDB kati ya Mei 16-17.
Singida BS imeshinda mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar, wakati huohuo JKT Tanzania inamsubiri mshindi wa Yanga SC dhidi ya Stand Utd kwenye nusu fainali ya Kombe la CRDB.
FT. Singida BS 2️⃣-0️⃣Kagera Sugar.
FT. JKT Tanzania 3️⃣-1️⃣Pamba JIJI FC.
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *