Sioni Nafasi ya Kibu Denis Kucheza Yanga, Utakuwa Usajili Ambao Hauna tija

Sioni Nafasi ya Kibu Denis Kucheza Yanga, Utakuwa Usajili Ambao Hauna tija

Nimeona Tetesi kuwa Kibu Denis amegoka kusaini Simba na anaelekea Yanga Sc, kusema ukweli kwa Yanga inavyocheza nafasi ya Kibu Denis itakwenda kuwa finyu sana kwa kuwa Yanga wanatengenez nafasi zao kwa aina ya uchezajj wa pasi nyingi na Kibu Denis amezoea nguvu na mbio

Sioni nafasi ya Kibu ndani ya Yanga, utakuwa usajili ambao hauna tija kwa Yanga
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *