Kocha wa Simba wa Zamani Patrick Aussems 'Uchebe' Arudi Tanzania

Kocha wa zamani wa Simba SC Patrick Aussems “Uchebe” (59) Raia was Ubelgiji ametangazwa kuwa Kocha mpya wa Singida Black Stars kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Aussems ambaye ana uzoefu wa soka la Afrika Mashariki aliifundisha Simba SC msimu wa 2018/19 na kisha kutimkia Black Leopards ya Afrika Kusini.
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *