BREAKING: MO Dewji Atangaza Wajumbe SITA Atakaofanya Nao Kazi…

BREAKING: MO Dewji Atangaza Wajumbe SITA Atakaofanya Nao Kazi...

Muda mfupi uliopita Rais wa heshima na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba SC Mohammed Dewji ametangaza wajumbe sita ambao atafanya nao kazi upande wa muwekezaji .
Hili limekuja siku chache baada ya Try Again kujiuzulu na wajumbe wengine kujiuzulu nafasi zao kwenye bodi hiyo
1.Cresentius Magori
2.Hussein Kita
3.Salim Abdallah Tryagain
4.Mohammed Nassoro
5.Zulfikar Chandu
6.Rashidi Shangazi
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *