Usajili: Azam Waacha Wachezaji Wanne Kwa Mpigo…Hawa Hapa

Usajili: Azam Waacha Wachezaji Wanne Kwa Mpigo...Hawa Hapa

Klabu ya soka ya Azam, imetangaza kuwapa mkono wa kwaheri wachezaji wanne na kuwatakia kila la kheri kwenye safari yao ya soka.

Wachezaji hao ambao wamepewa ‘thank you’ leo ni Ayoub Lyanga, Edward Manyama, Malickou Ndoye na Issa Ndala.
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *