Kocha Gamondi Ashinda Tuzo ya Kocha Bora Ligi Kuu Bara

Kocha Gamondi Ashinda Tuzo ya Kocha Bora Ligi Kuu Bara

Kocha wa Yanga SC Miguel Gamondi Raia wa Argentina ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu kwa kuwashinda Bruno Ferry wa Azam FC na David Ouma wa Coastal Union katika usiku wa Tuzo za TFF zinazotolewa usiku huu Jijini Dar es salaam

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *