Kiungo Feisal Salum wa Azam FC Feisal Salum ameshinda tuzo ya Mchezaji bora wa msimu wa Kombe la Shirikisho akiwashinda Clement Mzize (Yanga), Aziz Ki (Yanga SC), Ibrahim Bacca (Yanga) na Kipre Junior (Azam FC).
Posted inFei Toto Michezo Trending News