Posted inMichezo Jean Charles Ahoua Mchezaji Bora wa Mwezi Ligi Kuu ya NBC September 3, 2024No Comments Kiungo Jean Charles Ahoua pia amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi wa nane (8). Ahoua amecheza michezo miwili akifunga goli moja na kutoa pasi tatu za mabao yaani Asisst. Post navigation Previous Post Fadlu Davids Kocha Bora wa Mwezi Ligi Kuu ya NBCNext PostMATOKEO Taifa Stars Vs Ethiopia Leo September 4, 2024