RAIS CAF AAGIZA UCHUNGUZI VURUGU WALIZOFANYIWA SIMBA LIBYA

Rais wa CAF aagiza uchunguzi furugu walizofanyiwa Simba Libya« NyumaMbele »Comments (0)Listen 

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa (CAF), Patrice Motsepe jana katika Kikao Cha Watendaji wa CAF kilichofanyika KENYA aliagiza uchunguzi dhidi ya Vurugu wakizofanyiwa Simba nchini Libya.

Motsepe ameyasema hayo jana wakati akihojiwa na waandishi wa habari alipohudhuria Kikao hicho.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *