MARCUS RASHFORD amesema kuwa yupo tayari kupunguza mshahara wake kwa kiasi kikubwa Ili akamilishe dili lake la kujiunga na klabu ya FC Barcelona katika dirisha kubwa lijalo la usajili.
Rashford hayupo tayari kuendelea kusalia Aston villa mkopo wake utakapomalizika mwisho wa msimu huu.