ALEX NGEREZA: KUNA VILE PACOME AMEANZA KUCHUJA….

ALEX NGEREZA: KUNA VILE PACOME AMEANZA KUCHUJA....
Alex Ngereza vs Pacome

ALEX NGEREZA: KUNA VILE PACOME AMEANZA KUCHUJA….

Mchambuzi wa michezo wa TV3 Alex Ngereza ameandika chapisho katika kurasa yake ya Instagram na kugusia suala la mchezaji wa klabu ya Yanga Pacome Zouzoua kuwa kiwango chake kimeshuka sana.

“Kuna namna Pacome Zouzouan ameanza kupotea kiaina fulani hivi kwenye game…Kila siku zinavyozidi kwenda anazidi kupoteana tofauti kabisa na vile ambavyo alianza wakati anajiunga na Yanga” Anasema Alex Ngereza

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *