Msimu wa Mabao Ligi Kuu Tanzania, Rekodi Yavunjwa
WAKATI Ligi Kuu ikienda ukingoni. tayari rekodi ya ufungaji wa mabao msimu huu imevunjwa, tofauti na ilivyokuwa kwa msimu uliopita, ambapo hadi sasa yamefungwa jumla ya mabao 544, ikiwa ni…
WAKATI Ligi Kuu ikienda ukingoni. tayari rekodi ya ufungaji wa mabao msimu huu imevunjwa, tofauti na ilivyokuwa kwa msimu uliopita, ambapo hadi sasa yamefungwa jumla ya mabao 544, ikiwa ni…
Prince Dube anashikilia rekodi ya kufunga Hat-trick ya kwanza ya msimu ligi kuu akifunga kwenye mchezo uliochezwa Desemba 19, 2024, Prince Dube alifikisha hat-trick (mabao matatu) na kuisaidia Young Africans…
Mdau wa soka Ally Mayai Tembele ambaye alichukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka Nchini (TFF) amesema hata yeye amekosa endorsment hivyo anasubiri mamlaka ziamue. “Nimekosa…
Raisi wa shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania (TFF) Ndugu. Wallace Karia huenda akasalia kama mgombea pekee katika kinyanganyiro cha nafasi ya Urais katika Shirikisho hilo la mpira wa…
Homa ya Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeanza kupamba moto wakati leo ikiwa siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi mbalimbali…
Jean Charles Ahoua Anamaanisha, Awakimbia Mzize na Dube Katika mbio za ufungaji bora, kiungo wa Simba, Jean Charles Ahoua ameendelea kuwakimbia washambuliaji wa Yanga, Clement Mzize na Prince Dube. Ahoua…
Hii Hapa Safari ya Sowah Kwenda Wananchi Yanga, Mipango Imenyooka Kama Rula JONATHAN Sowah mshambuliaji wa Singida Black Stars anatajwa kuwa kwenye mpango wa kutakiwa na Yanga SC inayonolewa na…
PACOME ANAFAA KUWA MVP WA LIGI MSIMU HUU – HAJI MANARA Nimeona video ya aliyekua msemaji wa Yanga, Haji Manara akisema kuwa ‘MVP’ wa msimu huu wa Ligi kuu NBC…
Imagine Hakuna Mwandishi wa Manara Tv wala wa Chombo kingine aliyewahi kuniuliza kwa nini unasema Paccme atakuwa MVP wa Msimu huu wa 2024/25? Hata yeye mwenyewe nilipomwambia kule Avic Town…
Golikipa Camara Uhakika Kipa Bora Ligi Kuu Bara Kitendo cha Simba kushinda 5-0, kimemfanya kipa namba moja wa kikosi hicho, Moussa Camara kujihakikishia tuzo ya Kipa Bora wa Msimu kwa…