Mchambuzi: Simba Wangekuwa na Kikosi Kama Cha Yanga Wangetwaa Ubingwa wa Afrika
Mchambuzi nguli nchini Dominic Salamba amesema Klabu ya Simba ingekua na kikosi angalau kama ilivyo Yanga,Azam na hata Singida Black Stars wangekua na uwezo wa kutwaa Ubingwa wa Afrika. Salamba…