Bodi ya Ligi Kuu : Ratiba ya Michezo wa Yanga na Simba Leo Ipo Pale Pale
Licha ya klabu ya Simba kutoa tamko la kususia kuleta timu uwanjani kwenye mchezo huo wa derby ya Kariakoo uliopangwa kuchezwa leo Machi 8, 2025 kufuatia kikosi chake kuzuiwa kufanya…