Yanga Princess Waifunga Simba Queens, Kaka zao Walikimbia, Wameyatimba
Kikosi cha Timu ya Wanawake ya Yanga, (Yanga Princess) kimeiadhibu timu ya wanawake ya Simba, Simba Queens kwa kichapo cha bao 1-0 lililofungwa na Jeannnine Mukandayisenga katika Uwanja wa KMC…