Kauli za Tumekufa Kiume Mwaka Huu Zikome, Simba Hakikisheni Mnatinga Nusu Fainali
Ni ule msimu ambao natamani kuona Simba wakivuka Robo fainali na kutinga nusu kwenye michuano ya kimataifa. Mara kibao Simba wamekuwa wakitolewa robo na kusema “tumekufa kiume” hizi ni kauli…