Kipa Manula Afunguka Ishu ya Kutaka Kuondoka SIMBA, Aampa Ushauri Camara
NI suala la kawaida kwa binadamu yeyote aliye hai maisha yake kuwa na hali ya kupanda na kushuka, inaweza kukutokea kazini, masomoni, kwenye uhusiano au sehemu nyinginezo. Sio rahisi sana…