Shaffih Dauda: FADLU Ananipa Mashaka, Japo Wameshinda ila Ubora wa Timu Upo Chini Sana
Mechi ya pili mfulululizo Simba ikiwa nyumbani kombe la shirikisho. Mechi inaisha, Simba ameshinda ila mashabiki wa Simba wameweka mikono kichwani. Badala ya kufurahia wanasikitika. Mashabiki hawajaridhika, kiwango cha uchezaji…