Kocha Mbwana Makata Apewa Thank You na Timu ya Prison
Klabu ya Tanzania Prisons imesitisha mkataba wa Kocha Mkuu Mbwana Makata kutokana na mwendelezo wa matokeo yasiyoridhisha kwenye Ligi tangu alipopewa majukumu ya kuiongoza timu hiyo ya Jeshi la Magereza.…