Fei Toto Aikataa Simba “Siwezi Hata Kidogo”
KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum amekata mzizi fitna kuhusu maneno yanayoendelea kusemwa kwamba huenda akatimikia Simba, akifunguka kuwa kama ataondoka anapocheza sasa basi hawezi kujiunga na timu yoyote Bongo…