TIMU YA JKT QEENS YATANGULIA FAINALI NGAO YA JAMII
Nusu fainali ya kwanza ya Ngao ya Jamii kwa wanawake imetamatika mchana huu JKT Queens ikitangulia fainali baada ya kuichakaza Ceasiaa Queens kwa mabao 7-0 kwenye Uwanja wa KMC Complex,…
Sports News From Tanzania
Nusu fainali ya kwanza ya Ngao ya Jamii kwa wanawake imetamatika mchana huu JKT Queens ikitangulia fainali baada ya kuichakaza Ceasiaa Queens kwa mabao 7-0 kwenye Uwanja wa KMC Complex,…
Kelvin Mbappe Ameandika Mchambuzi wa Michezo Hans Rafael: Anaitwa Kelvin John (21) anacheza Aalborg BK ya Denmark,ikumbukwe hii timu inashiriki Ligi kuu ya Denmark. Kwenye mechi (13) Za mwisho Za…

Kocha timu ya taifa ya Uganda, ‘The Cranes’, Paul Put ametangaza kikosi cha wachezaji 27 wa timu ya taifa hilo kwa ajili ya michezo miwili ya kuwania kufuzu AFCON 2025…

BAADA ya kulazimishwa suluhu juzi dhidi ya Mashujaa FC kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma, klabu ya Azam FC imesema wanachokutana nacho sasa ni mapito tu na muda si mrefu…

Kuna vitu vingine inabakia kuwa ni siri ya Mwenyezi Mungu. Nimeifuatilia Yanga kwa miaka mingi sasa, inatabia ya kuanza mashindano au ligi katika Low Gear au Low Key. Inaweza kuanza…

UBAO WA HANS RAFAEL NA ELIE MPANZU/ ANAKICHAFUA KWENYE MFUMO WOWOTE WA FADLU Post Views: 17