Simba Kumkosa Jumla Lawi, Akimbili KAA Gent, Saido Atajwa Rayon
Beki wa Coastal Union ambaye pia inaelezwa kumalizana na Simba dirisha hili la usajili, Lameck Lawi anatajwa kutimka nchini hivi karibuni kwa ajili ya kujiunga na K.A.A Gent inayoshiriki Ligi…