Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga Kiulaini tu Watakuwa Mabingwa
Wakati klabu sita zitakazopeperusha bendera ya Tanzania katikamashindano ya klabu Afrika msimu ujao, zimekwepa mtego wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf) baada ya kupata leseni ya ushiriki, upepo mzuri unaonekana…