Siri Imefichuka…Kibu Denis Kapata Mwaliko wa Majaribio ya Mwezi Mmoja Norway
Sakata la Kibu Dennis limeingia sura mpya baada ya kubainika kuwa yupo Nchini Norway kwa ajili ya majaribio baada ya kuitoroka Simba Sc kama ilivyoripitiwa awali. Hii ni baada ya…