Kuhusu Kocha Mkuu Simba, Huyu Hapa Kula Shavu la Miaka Miwili
UONGOZI wa Simba SC upo sokoni kutafuta mrithi wa Abdelhak Benchika ambaye aliondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu, na majukumu yake kukaimiwana Juma Mgunda. Makocha wengi wametuma CV zao Simba,…