Yanga Hawataki Mchezo, Wampa Diarra Miaka Miwili Tena
Kipa wa Yanga, Djigui Diarra raia wa Mali, ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia Young Africans SC kwa misimu mawili ijayo. Diarra ambaye alisajiliwa na kikosi hicho Agosti 2021 akitokea Stade…