WAKATI IBENGE AIKINUKIA SIMBA….MASTAA HAWA 9 KUPIGWA PANGA MSIMU UKIISHA…
KLABU ya Simba itaachana na nyota tisa mwishoni mwa msimu huu akiwemo kipa mmoja, mabeki wawili, viungo wawili, mawinga wawili na washambuliaji wawili. Imeelezwa kuwa wachezaji watakaotemwa baadhi ni wachezaji…