Huyu ndie Binadamu Pekee Anaeweza Kuokoa Ndoto za Arsenal
Baada ya Tottenham juzi kupoteza mchezo wake mbele ya Man City, tumaini pekee lililobaki kwa Arsenal ni Davis Moyes na vijana wake wa ”West Ham United”, ambapo hii ni kwa…
Sports News From Tanzania

Fundi TP Mazembe kutua Yanga Masbingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wameendelea kuimarisha kikosi chao kwa kuwanasa nyota wawili wapya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), ambao…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Farhan Kihamu amemshauri mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ kuweka mtu wake ndani ya klabu hiyo ili timu iweze kufanya vizuri.…

Kocha wa Kagera Sugar, Fred Felix ‘Minziro’ amesema ubora wa wachezaji wa Yanga ndio uliamua mechi ya juzi ambayo walipoteza kwa bao 1-0. Minziro alisema Yanga wana wachezaji wenye ubora…

Simba SC wameichukua heshima yao kinguvu hii leo , the man behind this mission ni Juma Mgunda ! kipindi chote ambacho Simba inapitia mateso yeye alikuwa Simba hapo hapo lakini…

Florent Ibenge Kocha Mkuu wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge amesema itakuwa ni heshima kwake endapo atapata nafasi ya kuinoa timu mojawapo za Ligi Kuu Tanzania haswa Simba yenye…