Aprili 20 Nawaambi Yanga Atapigwa na Simba Hamta Amini – Justine Kessy
Mtangazaji wa Mjini FM, Justine Kessy amesema kuwa Klabu ya Yanga isipokuwa makini kwenye mchezo wao wa dabi huenda wakapoteza dhidi ya Simba SC, Jumamosi, Aprili 20. Justine amesema kuwa…