Ishu ya Onana kuzuiwa kupiga penalti na Benchikha ipo hivi
Hatimaye sababu ya kocha wa Simba Abdelhack Benchikha kumzuia Willy Esomba Onana kupiga penalti imefahamika. Jana usikukwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Simba ilivaana na KVZ kwenye mchezo wa nusu…