Edo Kumwembe “Hakuna Timu Duniani Inayomtamani Mchezaji Chama Kama Yanga Kwa Sasa”
“Kuelekea mwisho wa msimu na Chama atakuwa anamaliza mkataba wake Simba, je Wekundu wa Msimbazi watakuwa tayari kupambana na vigogo wengine kumpa Chama mkataba mpya? Hili ni swali gumu. Kuna…