Uchambuzi Mechi ya Yanga na Tabora United, Matumizi Makubwa ya Nguvu Yalitawala
Mchezo ulikuwa na matumizi makubwa ya nguvu . Takwimu zinadhibitisha hilo , kulikuwa na FAUL nyingi sana : Tabora walikuwa vizuri sana kwenye kiungo walicheza kwa utulivu mkubwa then walizuia…