Bocco, Aishi waachwa Dar Simba ikielekea Botswana
Nyota wa Simba Kapteni John Raphael Bocco na golikipa Aishi Manula, wawapo kwenye orodha ya wachezaji waliokwea pipa alfajiri ya leo Desemba , 2023 kuelekea nchini Botswana kuwakabili Jwaneng Galaxy.…